Kwa wakimbizi na wahamiaji: Kuwasaidieni kupata huduma katika Pittsburgh
ISAC iko hapa kuwasaidieni katika kujenga maisha yenu hapa Pittsburgh
Tutasaidia kwa kuwa kuwajulisha na misaada, huduma na jamii muhimu katika kata ya Allegheny
Tutawasiliana na wewe katika lugha yako. Tutasikiliza maswali yako na kukusaidia kupata majibu.